MZEE NI YUPI JF?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
643
habari za usiku wakuu mara nimekuwa nikijiuliza mzee ni yupi kwa upande wa jf?

1.ni mtu ambaye kila post ujifanya mtu wa longtime kulog in jf

2.ni mtu ambaye upenda kuchangia na kusema jf ya zamani haikua hivyo bila kujua mambo ubadilika..

3..ujifanya mtu wa ya juu na kila post ucomment maisha ya juu tu..
-TAHADHARI HAPA..unatumia if fake ukifa tutakujua tu....

Hawa kwangu ni wazee wa jf na wamepitwa na wakatii...
 
Me Wote hapa JAMIIForum Nawachukulia Kama wazee(Wahenga)

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Ila hawa watu wanazinguaga kinoma[emoji3][emoji3]utadhani kuna zawadi za dhahabu watapewa ...mi nawaona washamba tu!
Mtazamo tu!
Wanaboa sana hawajui mambo yanabadilika tu..

Sent from my SM-G130HN using JamiiForums mobile app
 
JF zamani haikuwa na mada kama hizi [emoji56]

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Kama haikuwa na mada jua mambo ubadilika kwani wewe zamani HUKO NYUMA ULIKUWA HIVYO

Sent from my SM-G130HN using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mzee wa nchi masikini ni kijana wa nchi tajiri na mimi nchi zote zangu hata sijijui kama mzee au kijana.

Unaweza kukuta vitoto vinaita mtu wa miaka 40 mzee kwa sababu tu vimekua nyumba ya mayatima na watu wote waliokuwa na miaka zaidi ya 30 wamekufa kwa UKIMWI kwao huko.

Lazima akikuona una miaka 40 akuone mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…