Na kweli unastahili group la uzee?hahahha ,mie nipo group la uzee mkuu!
Kweli muhuni.
Na kweli unastahili group la uzee?
Hahaha halafu wewe ngoojateh teh
nakaribia 52!naomba uniweke unapoona nafaa
Hahaha halafu wewe ngooja
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nitakuamkia chumbani we niamkie hapa[emoji3]hahaha unaumia kisa unaniamkiaga! ni haki yangu mkuu huna namna! alafu leo hujaniamkia! haya nasubiria....
Nitakuamkia chumbani we niamkie hapa[emoji3]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahaaa not to that extent!hahahahshetan ameshindwa! itikia AMEN!
Hahahaaa not to that extent!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahaaa not to that extent!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Utaniweka font page..[emoji3]ahahaha bring back ur passport! i"l show u(in magufuli voice)..
Utaniweka font page..[emoji3]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Dogo! Hata kustaafu bado!teh teh
nakaribia 52!naomba uniweke unapoona nafaa
Dogo! Hata kustaafu bado!
Siasa haina mashiko tena. Wanasiasa hawana ajenda. Vyama"vina price tag"Zamani JF ilikuwa ni kisima cha maarifa na chem chem ya elimu juu ya masuala mbali mbali ya kijamii...kutoka kwa wataalamu mbali mbali waliokuwa wamejitolea kushare nasi maarifa yao bila khiyana.......
Elimu na maarifa vilivyokuwa vinapatikana humu havina mfanowe....
Bila ya kusahau burudani mbali mbali...yaani ilikuwa niraha na hutamani kuikosa au kupitwa na mada yoyote ile....
Lakini siku hizi unakutana na mada mpaka unajiuliza huyu mtoa mada alikuwa katika hali gani kiakili wakati anaandika mada hii....!!
Kuna watu wameacha kabisa kutumia akili zao...hata yale mambo mepesi kabisa yanayohitaji fikra ndogo tu....yanaletwa huku...
Zamani ilikuwa jukwaa la siasa watu wanabishana kwa hoja...sio sasa hivi ni matusi.... tu...
R I P JF ....