Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mzee ana fikra mgando,Ila namsamehe maana hat yeye kakiri kwamba umri unamruhusu.Wakati wanachama kwani walichamgisha Wana CCM peke Yao? Wakati wa Chama kimoja kuna ambaye haikuwa mwana CCM? Wale wote walibaki kuwa CCM hata baada ya vyama bingo kurwjeshwa 1992? Lengo kupokea wanajeahi kutoka vitamin, Haya Hao walikuwa wanajeahi wa CCM? Waache Shulman hizo ni Mali za umma.
"Mwenye Ku- mobilize alikuwa ni Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati huo tunajenga CCM Kirumba, Mwanza nilikuwa wilaya ya Kwimba.
"Tuligawana kila wilaya itafute wadau na Chama kitafute watu kwa ajili ya ujenzi. Tulianza kuchangia. Tulifanya kampeni tulizunguka wilaya nzima. Watu walichangia ng'ombe.
"Katika wilaya yetu tulichangia ng'ombe 800. Tulijenga ule uwanja kwa ajili ya wanajeshi watu waliokuwa wakipigana vita ili watakapo rudi mashujaa kutoka vitani tuwapokee pale. Kwa hiyo wazo na Msimamizi alikuwa Chama Cha Mapinduzi"- Mzee Philip Mangula, Mstaafu wa nafasi ya katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Soma >> Khalifa Said: Mali zote CCM inadai kumiliki ziliporwa kutoka kwa Watanzania, na ni muda sasa mali hizo zirejeshwe Serikalini
Hata katiba mbovu nayo ni mali ya CCM.