Mzee Rajabu Tambwe afariki Dunia Tabora

Mzee Rajabu Tambwe afariki Dunia Tabora

M-bongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
338
Reaction score
71
Muasisi wa CCM mkoa wa Tabora na aliyekuwa mume wa Mbunge wa viti maalumu/kuteuliwa wa muda mrefu Bi Mosi Tambwe amefariki Dunia leo saa sita mchana mjini Tabora. Mzee Tambwe mbali na kuwauasisi wa CCM mkoa wa Tabora pia alikuwa mjumbe wa baraza la wazee wa Mkoa wa tabora kwa miaka mingi. mungu aiweke roho ya marehemum kwa kadri ya mapenzi yake. Amen
 
Hivi huyu mama Mosi Tambwe alikuwa na waume wawili?

Mwanzo umeandika tena Kinyamwezi, Mzee Seleman Tambwe kafariki. Sasa unaandika Rajabu Tambwe kafariki? Yupi kafariki sasa? Huyo Seleman Tambwe sijawahi msikia.

Rajabu Tambwe nakumbuka miaka kama sikosei ya 70 alikuwa na mabasi yake/basi lake. Na hilo basi aliweka kingora kinacholia kama wimbo. Nakumbuka watoto/vijana wengi wilaya ya Sikonge walikuwa wanaimba hicho kingora kwa kuweka maneno ya Kinyamwezi:
"Tongelagi nane nizile, Rajabu Tamwe wasalile" ikiwa na maana "tangulieni na mimi nakuja, Rajabu Tambwe ame-wehuka (kapata kichaa)". Enzi hizo mabasi yake yanatoka Urambo hadi vijiji vya Kiloleli. Huku wapinzani wake wakiwa akina Kitwana, kuja na kushoka, Seif Hamdani nk.

Nimekuuliza kaka yangu kasema huyo mama Mosi Tambwe atakuwa mtoto wake kwani huyu mzee alikuwa kashakula chumvi nyingi. Labda kama Mzee alikuwa Sugar Daddy lakutupwa au alikuwa mke wa mtoto wake Seleman Tambwe.
 
Back
Top Bottom