Mzee Regnald Mengi aongoza kwa kuwa na followers wengi Twitter

MC Chere

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
586
Reaction score
400
Apata followers 304,000 sasa akiwapiku wale waliokuwa wakimupiku ambapo JM KIKWETE alikuwa akioza na kwa sasa ana followers 303,000 akifuatiwa na ZITTO mwenye followers 300,000 ila kwa EAST AFRICA kingunge wao ni KENYATA Mwenye followers zaidi ya laki 9

Swali,hivi hawa watu itafika siku nao wataanza kulipwa kutokana na umaarufu wao kama wale wa Ulaya?
 
Kwani wa ulaya wanalipwa maana mim na follow 50
 
Hakuna mtu anayelipwa kuwa na followers wengi. Ila unaweza ukajilipa ww mwenyewe ukiamua
 
Having so many followers in twitter, Facebook or instagram doesn't make someone special than others.Jesus Christ had only 12.
 
Having so many followers in twitter, Facebook or instagram doesn't make someone special than others.Jesus Christ had only 12.
Those were his disciples not followers.
He had has more than mult-millions of followers.
 
jk lazima followers washuke kwa kilichotokea dodoma ......
 
Anayeongoza kwa ukanda wa Africa Mashariki ni Rais Paul Kagame wa Rwanda ana followers 787,000
 
Kwahiyo baada ya kuwajua hao wote,kipi kitafuata ,mtoa mada naomba unipe mwongozo..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…