Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hii imetokea jana asubuhi.
Mzee huyu amefariki baada ya pressure ya mawazo iliyotokana na kuhuzunika mke wake alipougua.
Interest yangu na Ephraim Kibonde ni kwamba yeye ndiye aliyesabsbisha mimi kujiunga na JF.
Ephraim Kibonde alikuwa anaongea katika kipindi cha Jahazi kwamba ukitaka internet gossip utazipata Michuzi Blogs.
Kwa hiyo nikaitazama Michuzi Blogs,na kwa vile nilikuwa natafuta blogs za Tanzania, pia nikaiona Jamii Forums.
Na sasa nipo hapa hii Christmas nacheki Internet gossip which nowadays seems to be my only entertainment.
Hizi habari zimetangazwa na Sarah Kibonde, mtoto wa kwanza wa Mzee Samson Kibonde na dada yake Ephraim.