Tuihukumu Mbeya,
Mbeya ilitoa viongozi shupavu sana nchi hii na viongozi wenye kujiamini sana na wenye kusimamia misimamo yao kikamilifu, hapa tunamuona Prof. Mwandosya, Sugu, Mwakyembe na wengine wengi. Leo hii Mbeya kutuletea viongozi wa kitaifa aina ya Tulia ni aibu.
Na kamwe Mbeya inabidi mtengwe na nchi maana haiwezekani kuliko kuibana serikali, spika mliyetuletea ndio aanze kuitetea serikali, hii hata shetani anashangaa sana. Sasa kwa maamuzi hayo ni wazi Mbeya haifai kutuletea viongozi wa kitaifa.
Mzee Sitta kamwe asingekubali huo ujinga abadani, lazima angehakikisha anapambana ili mambo yajulikane na mawaziri wangejiuzulu tu kwa uzembe wao.
Wahehe wana msemo wanasema mchuzi wa mbwa hua mtamu ukiwa wa moto moto sasa huyu anaetaka tunywe mchuzi ukishapoa kamwe hatutakii mema na sio wakuunga mkono kabisa.