Inna lillah wa inna 'ilayhi rRaji'unMuasisi wa CCM mkoa wa Tabora na aliyekuwa mume wa Mbunge wa viti maalumu/kuteuliwa wa muda mrefu Bi Mosi Tambwe amefariki Dunia leo saa sita mchana mjini Tabora. Mzee Tambwe mbali na kuwauasisi wa CCM mkoa wa Tabora pia alikuwa mjumbe wa baraza la wazee wa Mkoa wa tabora kwa miaka mingi. mungu aiweke roho ya marehemum kwa kadri ya mapenzi yake. Amen
Whaaaat...!!?r.i.p mzee wetu!mwambie j.k.n vijana wake wamekiharibu chama.