Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Kura za kizalendo zitaamua nani awe mshindi wa Urais, kwa mantiki hii Lissu hana chake toka kwa wazalendo

Mwendelezo ya kutumia uhusika wa mtu wa kufikirika!

Uzalendo sio kuunga mkono tu kila litokalo kinywani mwa rais au kila atendalo!Uzalendo ni pamoja na kuwa mkweli,kuwa muwazi na kusimama na nchi mara zote na sio na serikali au Rais!
Kutoikosoa serikali pale inapokosea sio uzalendo!

Kura yangu mimi kama mzalendo ni kwa Lissu!Kwahiyo mwambie mzee shomari wako wa kufikirika kuwa hoja yake haina mashiko!
 
Huwezi lipenda taifa lako kwa kudhulumu wengine, ukilipenda taifa lako utawapenda na RAIA wenzako, wawe wa chama chako au wawe wa sio wa chama chako.jpm uzalendo wake una mashaka
Kwa hiyo haya mambo mazuri anayafanya kwa ajiri ya wana Ccm tu?
 
Mzee Shomari yupo na anajua wazi uzalendo wa JPM ndio umeleta maendeleo makubwa hapa Tanzania ndani ya miaka minne.
 
What is an idiot?
 
Hata kwa vitendo uzalendo unaonekana.JPM ameonyesha kwa vitendo
Kutesa wapinzani ndio uzalendo huo?
Kina Nusrat Henje miezi 3 wako ndani kwa kuimba "Mungu ibariki chadema",wakati huo huo UVCCM wanapeta tu kitaa japo na wao waliimba "Mungu mmbariki Magufuli..."
Uzalendo sio kutisha wananchi kuwa wasioochagua wabunge wa CCM hutapeleka maendeleo!!!
Uzalendo sio kunyima uhuru watu kutekeleza haki zao za kikatiba!

Uzalendo haupimwi kwa eneo moja kama unavyotaka kuaminisha watu na uzalendo wa Magufuli!
 
What a shock, magufuli mzalendo!?
Angekuwa mzalendo asingeficha mikataba ya madini na ujenzi wa miradi mikubwa na asingejenga uwanja wa ndege chato asingewaua na kuwateka wanaomkosoa
 
Kama unataka watu wavunje sheria alafu waachwe subiri Chadema ikichukua nchi. Sheria ni maandiko yaliyo hai.
 
What a shock, magufuli mzalendo!?
Angekuwa mzalendo asingeficha mikataba ya madini na ujenzi wa miradi mikubwa na asingejenga uwanja wa ndege chato asingewaua na kuwateka wanaomkosoa
Pointless,mikataba haionyweshi hovyo kama magazeti.
 
Sema anataka tumbo lake lituzwe Hana lolote kutesa watu Ni uzalendo kubagua watu Ni uzalendo, kupendelea Ni uzalendo, ukabila Ni uzalendo, Kama uzalendo ndiyo huo kea tafsiri ya mzee shomari basi nchi hii kuendekea tusubiri sana
Kapendelea Kabila gani?
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…