Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Mgombea urais wa CHADEMA hana nia njema na Watanzania wa kipato cha chini, hastahili kupata kura hata moja

Mpeni pole halafu pelekeni kwenye matamasha yenu, nae akavalishwe 'jungle hat' na Jiwe, kama akina Harmonize.
 
Kwani watanzania si tuko kipato cha kati sasa hivi! Si ndio uchumi wa kati wa nchi na kipato viko sambamba! Kwani kuna mwananchi wa kipato cha chini sisi?
 
Ungefahamu gharama zinazomkabili mkulima usingemwaga uharo wako hapa!
Kwa hiyo kwa kuwa anazalisha kwa gharama kubwa ndio uruhusu holela chakula kikauzwe nje?
 
Kwa hiyo kwa kuwa anazalisha kwa gharama kubwa ndio uruhusu holela chakula kikauzwe nje?
Kwani hicho chakula ni mali yangu au ya serikali? Kama serikali inahitaji inunue kwa bei ya soko la dunia!
 
Kwani hicho chakula ni mali yangu au ya serikali? Kama serikali inahitaji inunue kwa bei ya soko la dunia!
Bei ya soko la dunia ni sh ngapi? Mfano kilo moja ya mchele ni sh ngapi kwa soko la dunia?
 
Alipokuwa Bunda alisema hawana Taa kwa sababu walichagua Upinzani. Alipokuwa Busega ( Lamadi ) akasema mkichagua Upinzani hataleta Maendeleo. Alipofika Kigoma akasema Haya Maendeleo Haya ni yangu nimeleta, Maendeleo hayana Vyama Ni kauli za Mtu mmoja katika Uchaguzi mmoja!
 
Kwa upande wa kigoma tayari tumeizika chadema kama kuna mtu anabisha ataona kesho lake tanganyika
Alipokuwa Bunda alisema hawana Taa kwa sababu walichagua Upinzani. Alipokuwa Busega ( Lamadi ) akasema mkichagua Upinzani hataleta Maendeleo. Alipofika Kigoma akasema Haya Maendeleo Haya ni yangu nimeleta, Maendeleo hayana Vyama Ni kauli za Mtu mmoja katika Uchaguzi mmoja!
 
Hakuna cha Shomari wala Kapombe.

Piga chini ccm okt 28,msifanye makosa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…