Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule muigizaji maarufu kwa jina la mzee small anaumwa ugonjwa wa kupalalaizi mkono pamoja na mguu wa upande mmoja.anaomba msaada wa matibabu, wakati anahojiwa na mtangazaji akasema hata rais ni rafiki yake wa siku nyingi tokea enzi za Umoja wa vijana kwa hiyo anaomba msaada wa gharama za matibabu.Mbona taarifa yako haijitoshelezi? Iongeze nyama ueleweke.
Tiba
a
Yule muigizaji maarufu kwa jina la mzee small anaumwa ugonjwa wa kupalalaizi mkono pamoja na mguu wa upande mmoja.anaomba msaada wa matibabu, wakati anahojiwa na mtangazaji akasema hata rais ni rafiki yake wa siku nyingi tokea enzi za Umoja wa vijana kwa hiyo anaomba msaada wa gharama za matibabu.