Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Aliyekuwa msaidizi wa mtunza vifaa wa klabu ya Simba, Hassan Mtutanje maarufu kama Mzee Somo amefariki dunia juzi jumamosi usiku.
Marehemu atakumbukwa kama mmoja ya wafanyakazi wa Simba waliokuwa na mahaba mazito na klabu hiyo.
Mzee Somo atazikwa leo kwao mkoani Mtwara. Apumzike kwa amani.