Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Haya mambo hupaswi kufanya na hii ni mbaya sana na tambua kuwa huu ni msiba.haraka sana Mayele afunguliwe kesi ya kuuwa bila kukusudia, ndiyooo maana yake, kuuwa ni kuuwaa tuuu haijalishi ulishika bunduki au ulimtishiaa marehem
Wee siyo mtanzania nini?? hujui adi misibani utani upoo?? Na tena kwenye misiba utani ndiyo umetamalaki??? Wee wa wapii wewe??Haya mambo hupaswi kufanya na hii ni mbaya sana na tambua kuwa huu ni msiba.
Kumbe kudumu koote bado huwezi kutenganisha msiba na dhihaka.
Hawa ndo manguri wa Simba kitambo, ambapo mtangazaji wa RTD sasa TBC Jese John alikuwa hachoki kumtaja.
Apumzike kwa amani Somo wa Simba SC.
Uyo ndo alikuwa mbeba mikoba ya jadiUyu nilimshuhudia simba iliyomfunga ac vital pale taifa na simba kwenda robo fainali
Siku hiyo mzee huyu na manula waliwanga sana kabla ya mashabiki kuungia
Uyo ndo alikuwa mbeba mikoba ya jadi
Barbara ndo alimuondoa katika nafas yakeAliipenda sana kazi yake na muungwana hakuwa mzee wa kutaka makuu
Wakaja wale sijui mabadiliko ya uendeshaji panga lilimpitia kitu km hicho