Uchaguzi 2020 Mzee Sumaye ahoji wapi alipo Mbowe katika kampeni za Lissu

jijiletublog

Member
Joined
Jul 23, 2020
Posts
31
Reaction score
74
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe kumtelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.

Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.

Sumaye aache umalaya
Waziri Mkuu Mstaafi Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe Mkutelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.

Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.View attachment 1611622
Sumaye aache umalaya wa kisiasa.
 
Waziri Mkuu Mstaafi Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe Mkutelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.

Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.View attachment 1611622
huyo mzee yused tu amalize uzee vizuri Mbowe yuko na kampeni Hai chadema siyo wajinga kama hao wazee wa ccm
 
Uhalisia nikua kamati kuu haikuana mpango na Lisu wao walimtaka Nyarandu kwakua alisha jipanga katika swala la fedha za kampen. Walipo ona kuna shinikizo kutoka kwa wanachama wakaonaona isiwe tabu wamwachie Lisu msala alafu wao wa mute. Wanajua Lisu hawezi kutoboa na ndicho kinacho tokea
 
Nyalandu ndio angetoboa?
 
Yaani siasa haina tatizo ila wanasiasa hawaaminiki.
Sumaye alivyokua anamponda Mh.Magufuli kwenye kampeni zilizopita huwezi amini eti leo anampigia debe.

Wakati ule alisema CCM imetekwa na Magufuli na hata kaulimbiu yake haikua chagua CCM bali ilikua chagua Magufuli

Sema nadhani hata mh.Magufuli hawaamini sana tena wanasiasa hao aliwafananisha na ng'ombe aliyetoroka zizini akakatwa mkia. Aliasa kwamba waangaliwe kwaumakini
 
Waziri Mkuu Mstaafi Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe Mkutelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.

Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.View attachment 1611622
Sumaye usikute anayoyasema ni mawazo ya Nabii tito kada mtiifu wa CCM
 
Uhalisia nikua kamati kuu haikuana mpango na Lisu wao walimtaka Nyarandu kwakua alisha jipanga katika swala la fedha za kampen. Walipo ona kuna shinikizo kutoka kwa wanachama wakaonaona isiwe tabu wamwachie Lisu msala alafu wao wa mute. Wanajua Lisu hawezi kutoboa na ndicho kinacho tokea
Ilidhaniwa hivyo kwa jpm 2015 lkn akatoboa- JPM
 
Ila mimi Mungu anisamehe tu ila Sumaye sijui kwanini namuonaga wa ajabu sana. Mimi sina chama chochote ila tangu akiwa waziri mkuu huyu jamaa naonaga wa hovyo hovyo tu na hata alivyoenda Chadema niliwashangaa sana Chadema kumpokea.

Alitoka CCM kwa sababu hawakumpitisha kugombea uRais na akatoka kwa hasira sana ameenda Chadema akitegemea ukubwa wakamla kichwa hata ukuu wa kanda akakosa, na tena akapata moto balaa katoka kwa hasira! mtu gani anatamaa hivi? Yaani lilivyokatwa kugombea urais CCM likaenda kusomea masters lisubirie 2015 wakalitosa, we umeshakuwa waziri mkuu miaka 10 na kabla ya hapo umeshakuwa waziri na macheo kibao si uridhike tu aisee.
 
Back
Top Bottom