johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunakumbushana ukubwa tu wa hiki Chama kikuu Cha Upinzani Chadema
Ndani ya CCM ukistaafu Uwaziri mkuu unaweza kugombea uRais wa JMT au Umakamu Mwenyekiti wa Chama
Ila Chadema Kanda ni kipimo Cha kupevuka kwa kiongozi
Niishie hapo πΌ
Nawatakia Sabato Njema ππ
Ndani ya CCM ukistaafu Uwaziri mkuu unaweza kugombea uRais wa JMT au Umakamu Mwenyekiti wa Chama
Ila Chadema Kanda ni kipimo Cha kupevuka kwa kiongozi
Niishie hapo πΌ
Nawatakia Sabato Njema ππ