johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nadhani uko tuendako uje uolewe na chedema, maana inakuhangaisha sana rafiki John π π π π π π πTunakumbushana ukubwa tu wa hiki Chama kikuu Cha Upinzani Chadema
Ndani ya CCM ukistaafu Uwaziri mkuu unaweza kugombea uRais wa JMT au Umakamu Mwenyekiti wa Chama
Ila Chadema Kanda ni kipimo Cha kupevuka kwa kiongozi
Niishie hapo πΌ
Nawatakia Sabato Njema ππ
Dr Nchimbi hanaga sentence nyingi yeye ni vitendo tu πππNadhani uko tuendako uje uolewe na chedema, maana inakuhangaisha sana rafiki John π π π π π π π
πππLile lilikuwa pandikizi la Chama pendwa!
Yupo MoshiSumaye yuko wapi, haonekani popote
Yupo hata kwenye mazishi ya lowasa na mwinyi alikuwepo ila ameamua kuwa Low profile.Sumaye yuko wapi, haonekani popote
Correct, lakini hana deep reasoning! Ila nilimsifu alipoonesha msimamo kwa Lowasa. I recommend him. sasa linapokuja kuhudumia serikali ya shetani, mashaka yangu yanaanzia hapoDr Nchimbi hanaga sentence nyingi yeye ni vitendo tu πππ
Wewe si unaona Serikali inazidi kuimarika πCorrect, lakini hana deep reasoning! Ila nilimsifu alipoonesha msimamo kwa Lowasa. I recommend him. sasa linapokuja kuhudumia serikali ya shetani, mashaka yangu yanaanzia hapo
We hujawahi kuwa na akili, we ni km nyumbu tuTunakumbushana ukubwa tu wa hiki Chama kikuu Cha Upinzani Chadema
Ndani ya CCM ukistaafu Uwaziri mkuu unaweza kugombea uRais wa JMT au Umakamu Mwenyekiti wa Chama
Ila Chadema Kanda ni kipimo Cha kupevuka kwa kiongozi
Niishie hapo πΌ
Nawatakia Sabato Njema ππ
Ulitaka aje kwenuSumaye yuko wapi, haonekani popote