mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
_*Pesa noma sana*_
Jamaa alikua anaoga bafuni na mke wake, Mara wakasikia sauti ya
mtu ikibisha hodi,, mke akajifuta maji harakahara na kujifunga
kanga kisha kwenda kuangalia ni nani anaebisha hodi,, Alipofika
alimkuta Mzee keneth Jirani Yao. Mzee keneth kwa sauti ndogo
akamwambia " Ukidondosha hiyo kanga nakupa laki tano" Mke wa
jamaa akafikilia , Nae Kwa sauti ndogo Akajibu " Unayo Hapo??"
Mzee keneth Akajibu Ndio,, Mke Wa Jamaa Akajibu Nioneshe. mzee
Keneth akamuonesha , Mke Wa Jamaa Akadondosha ILe Kanga, Mzee
Keneth Akatoa Laki 5 Akampatia . Mke wa jamaa alipoludi bafuni
mumewe akamuuliza " nani alikua anagonga?". Wife akajibu ni
Jirani yetu mzee keneth". Jamaa akasema "Mzee tapeli sana huyo,
vipi ameshakupa Laki Tano Yangu??".
Wife"Daaaah! Kashanitapeli.[emoji23]
Semsimbazi*