Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Mzee wa Upako, Mchungaji Anthony Lusekelo amesema “Sijajua nani anafanya mambo ya kuteka watu, wengine wanahusishwa na Vyombo vya Dola. Kwa taarifa katika Biblia, Daudi alimshauri sana Selemanj kuwa watu wote wanaoathiri utulivu wa nchi uwe unaua. Wa kwanza kuuawa nikifa tu awe Yohab.”
Ameongeza kuwa “Kwa hiyo kuna watu ambao unaona hawashtakiki lakini wanaathiri usalama wa nchi, Biblia inaruhusu wale watu kuwateka na kuwaua. Na mataifa mengi duniani huko wana vitengo vya kuteka watu wajinga wanjinga, lakini nani unamteka?”
Amesema Vitengo vya Watu kutekwa hasa walengwa ni waliapishwa, wameshika Biblia wakaapa kuwa hawatatoa kiapo cha nchi, wamesaliti wanashughulikiwa. Aliapaa na ametusalitu tunamahughulikia, ipo kote duniani hata kwenye Biblia.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu