Mzee wa Upako, Mchungaji Anthony Lusekelo amesema “Sijajua nani anafanya mambo ya kuteka watu, wengine wanahusishwa na Vyombo vya Dola. Kwa taarifa katika Biblia, Daudi alimshauri sana Selemanj kuwa watu wote wanaoathiri utulivu wa nchi uwe unaua. Wa kwanza kuuawa nikifa tu awe Yohab.”
Ameongeza kuwa “Kwa hiyo kuna watu ambao unaona hawashtakiki lakini wanaathiri usalama wa nchi, Biblia inaruhusu wale watu kuwateka na kuwaua. Na mataifa mengi duniani huko wana vitengo vya kuteka watu wajinga wanjinga, lakini nani unamteka?”
Amesema Vitengo vya Watu kutekwa hasa walengwa ni waliapishwa, wameshika Biblia wakaapa kuwa hawatatoa kiapo cha nchi, wamesaliti wanashughulikiwa. Aliapaa na ametusalitu tunamahughulikia, ipo kote duniani hata kwenye Biblia.

Haiendeshwi ndio ila ndio siri ya uongozi wote duniani ...Kama unabisha china wasingefika pale , kuna watu wameuawa kibao hata tajiri Jack Ma analetewa noma mda fulani . Kosoa ila usivuke mikapa kama matusi na kejeli.
Kma kiongozi lazima uwafinye maana ikitokea vurugu wakifa watu wengi tambua ni utawala wako .