Mzee wa Bwax vs Dulla makabila nani mkali?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu tumalizeni utata, kati ya hawa wawili Mzee wa bwax na Dulla Makabila nani anajua zaidi kuliko mwenzake????

Mzee wa bwax anatamba na bakola zake kama Kupenda penda kubaya, Unaringa nini, Mshamba wa Camera na Kisimu Changu

Dulla Makabila anatamba na bakola zake kama ,Makabila, Demu wako namba ngapi, Hujaulamba pamoja na ngoma yake inayosumbua kwa sasa inayoitwa DUA .

View attachment dullamakabila-20190224-0001.mp4
mzeewabwax_1-20190224-0001.jpeg
dullamakabila-20190224-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa bwax, mtoto wa nje ya ndoa ni nyoko.
Wakuu tumalizeni utata, kati ya hawa wawili Mzee wa bwax na Dulla Makabila nani anajua zaidi kuliko mwenzake????

Mzee wa bwax anatamba na bakola zake kama Kupenda penda kubaya, Unaringa nini, Mshamba wa Camera na Kisimu Changu

Dulla Makabila anatamba na bakola zake kama ,Makabila, Demu wako namba ngapi, Hujaulamba pamoja na ngoma yake inayosumbua kwa sasa inayoitwa DUA .

View attachment 1031236View attachment 1031238View attachment 1031239

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwax ndo huyo nigga wa juu aliyetinga black ndo kila kitu?
 
Back
Top Bottom