Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wakuu tumalizeni utata, kati ya hawa wawili Mzee wa bwax na Dulla Makabila nani anajua zaidi kuliko mwenzake????
Mzee wa bwax anatamba na bakola zake kama Kupenda penda kubaya, Unaringa nini, Mshamba wa Camera na Kisimu Changu
Dulla Makabila anatamba na bakola zake kama ,Makabila, Demu wako namba ngapi, Hujaulamba pamoja na ngoma yake inayosumbua kwa sasa inayoitwa DUA .
View attachment 1031236View attachment 1031238View attachment 1031239
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuma kwa chuma checheeeeenikisema niache Ganjaa nitavuta nini na nyie
nikesema niache pombe nitakunywa nini na nyie
Mzee wa Bwax Noumer
KabisaMtoto wa nje ya ndoa anakuja vizuri.. anahitaji kutoa nyimbo zaidi
ndiyo mkuuBwax ndo huyo nigga wa juu aliyetinga black ndo kila kitu?