Nimepata habari ya kutatanisha kuwa moja wa wazeee waliolala barabarani amefariki baada ya purukushani na polisi. Naomba mwenye taarifa zaidi na za uhakika atuletee.

Inasikitisha kama ni kweli.Hivi tujiulize kama ni baba au babu yako ukasikia amekufa akifuatilia mafao yake kwenye moja ya misukosuko tungejisikiaje??Hii serikali hii wewe ngoja tu