Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Kama anafanya kazi akisifiwa kuna ubaya gani? unataka Slaa asifiwe kwa kazi gani anayoifanya sasa? kama ni ubunge si aliacha mwenyewe kuna mtu alimlazimisha kuachia ubunge? Yaani unataka mtu asifiwe tu bila sababu? au unataka asifiwe kwa kuandaa maandamano yasiyo na kichwa wala mguu?
Kwani kazi anayofanya huyu mzee inahitaji mtaalamu kutoka nje kuja kukuonesha? mbona ipo wazi sana.
Na tangu lini BBC inamilikiwa na CCM
kiraracha anapambwa sana na vyombo vya habari vya ccm. tena sasa cccm wanahakikisha kiraracgha anatangazwa habar zake kila kona hadi bbc. yaani kwenye kamati ya hesabu za mashirika ya serikali za mitaa, kiraracha anatangazwa sana kuliko ata dr. slaa aliyefanya kazi kwa itija kubwa enzi zake. lakini huyu kiraracha naona anataka umaarufu tu kutoka kwa bosi wake aliyemgharamia matibabu-ccm. kiraracha analipa fadhila. tena kwa kwa kafu na klipumba hawana chao, baada ya kuolewa ana cc,m sasa kiraracha anaweza kugombea urais 2015 kwa pesa za ccm. yetu macho.
amewekwa kipropagandapropaganda kwenye hiyo nafasi. analipa fazila za kutibiwa nje ya nji na baba mwenye nyumba.
watu wa humu JF mna matatizo sana
mtu akifanya kazi lawama asipo fanya kazi lawama mnataka nchi hii iweje?
Mzee wa kiraracha anajitahidi kwa uwezo wake kuwachemsha watu wa kwenye halmashauri waache kutafuna pesa za umma na tumwunge mkono kwa kila hali.
siyo kuwa na mawazo mgando kuwa kwa sababu ya CCM. wafurukutwa wa CDM mnamatatizo sana na mtauta chama chenu
kiraracha anapambwa sana na vyombo vya habari vya ccm. tena sasa cccm wanahakikisha kiraracgha anatangazwa habar zake kila kona hadi bbc. yaani kwenye kamati ya hesabu za mashirika ya serikali za mitaa, kiraracha anatangazwa sana kuliko ata dr. slaa aliyefanya kazi kwa itija kubwa enzi zake. lakini huyu kiraracha naona anataka umaarufu tu kutoka kwa bosi wake aliyemgharamia matibabu-ccm. kiraracha analipa fadhila. tena kwa kwa kafu na klipumba hawana chao, baada ya kuolewa ana cc,m sasa kiraracha anaweza kugombea urais 2015 kwa pesa za ccm. yetu macho.
....WATANZANIA!!!Kwani kazi anayofanya huyu mzee inahitaji mtaalamu kutoka nje kuja kukuonesha? mbona ipo wazi sana.
Na tangu lini BBC inamilikiwa na CCM
inahitajika matarumbeta ili vilaza waamke!Hivi watanzania mnataka nini ?.Hakuna jambo jema mpaka utoke CDM !.
Hivi analipaje fadhila, kwa kupambana na ufisadi? Miye ningekubali kwamba analipa fadhila kama angekuwa anafunika uozo ulipo kwenye Halmashauri. Sasa anakemea na kuchukua hatua dhidi ya mafisadi ndani ya Halmashauri, wewe unasema analipa fadhila (fazila) za kutibiwa nje,alaaah. Mbona tunakuwa na double standard?