never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,009
Ni nani huyu mtu?unajua unaweza kufungwa kwa kosa lauongo....
piere hajapata ajali ya gari ..karuka stejini ndio akavunjika na video ipo humuhumu jf
jamaa fulan mpiga kilevi huwa ana vituko akilewa.... juzi kati alitrend sana mitandaoniNi nani huyu mtu?
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio ajali ya gari alijirusha stejiniKunajamaa uko ig ana trend sana . Nichapombe kumshinda mganga wa jf mshana jr.
Jamaa anapiga mtungi uku anasema ..mama nakufaaa eeeeeee mama ..eeeeeee konk fire.
Ili sasa kapata ajali ya gari nakuvunjika mguu . Kawekewa antena mguuni Bila king'amuzi ..
Injury mwaka nzima [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Tutammis mzee wa nakufaaaa