Ceiling board ✔️Wachaga wana nyumba sizizo na ceiling body??
Anyway RIP.
Haya mambo yalikuwa Iringa sasa yamesambaa kila konaAliporejea Septemba 2, alikuta mlango upo wazi huku mwili wa mume wake ukining’inia juu ya kenchi ya nyumba akiwa amejinyonga kwa kutumia shuka.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha tukio hilo. Amesema chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kifamilia.
Sidhani kama hii yaweza kuwa sababu.Wapenzi unyumba la sivyo watageukua Watoto wenu.