Mzee wa miaka 70 afariki akisubiri mbolea ya Ruzuku

Mzee wa miaka 70 afariki akisubiri mbolea ya Ruzuku

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho.

CHANZO: ITV

 
Back
Top Bottom