saidoo25 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2022 Posts 624 Reaction score 1,456 Nov 18, 2022 #1 Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho. CHANZO: ITV
Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho. CHANZO: ITV
V vibesen xxx JF-Expert Member Joined Jul 23, 2022 Posts 3,187 Reaction score 6,620 Nov 18, 2022 #2 Bashe maneno mengi mbolea imekuwa km dhahabu
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Nov 18, 2022 #3 Destiny yake imefika tusiingize siasa