mchonga
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 1,233
- 248
Wadau wa sheria, nilikuwa nauliza, kuna Mzee mmoja 80 yrs Old alikuwa anataka kuniuzia viwanja vyake viwili vilivyopimwa kabisa! Nilikuwa napenda kujua anaweza kuniuzia bila ya kuhusisha watoto wake? Watoto ni watu wazima late 50’s. Haitaweza kuniletea matatizo huko mbele!! Issue ni Umri wake. Naogopa isionekane namrubuni.
Nawasilisha!!
Nawasilisha!!