Mzee wa Nje ya Box Kigwangala karibu mtaani uone game

Kunawatu watakuongelea na kukujua hawakujui.
 
Wajumbe WANAFIKI na kumbeba kote kule 😹😹
 
Kasema ana around 20B, atafulia kirahisi kweli?
 
Mbunge mbulula pekeyake ndo anaweza akatoka bungeni after 2 years akawa Tia maji Tia maji!!
Hiv unadhan wabungu wana akil kama zako!? Mkuu mle kuna watu umewazid akili mbaaaali mnooo.
Mule watu wanatoka na mizigo ya madeni balaaaa aisee. Hata hao wanaotoka na mipunga asilimia kubwa wape miaka michache tu, kama serikali haiwaoni na kuwapa vyeo, huwa wanachika mbaya sana. Wengi hili suala la ku make their own money kama sisi huku mtaani sio jepesi kwako
 
Mimi nakuelewa Sana mkuu , kuna Mbunge nimekuwa nae karibu na wajumbe wamemkata Kama hatopewa cheo sijui itakuaje namuona akirudi kijijini kulima tumbaku


Kwakuwa umri wake 57 Ana watoto ambao kwa 100% walikuwa wanamtegemea wapo ambao wako primary na mmoja wa kiume ndo alikuwa Dereva wake.

Hana investment zozote za muhimu za kumpa hata 5M kwa mwezi.

Mpaka anatoswa alikosa hela ya kuwapa wajumbe kwakuwa amemaliza ubunge na madeni
 
Ni kwel kabisaa mkuu. Huko kuwa na asset za kumpa 5m kwa mwez mbona mbali sana braza. Hiyo unaiongelea business ambayo mtu anaajili watu kama wa 5 wenye degree na kuwalipa 500k kwa mwezi na biashara ikaendele poa tu.
Kutengeneza pesa yako watu wanakuchukulia poa ila ni kitu kigumu sanaaaaaaaaaaaa ndio maana akina Mwigulu wanakomalia pale wizarani!! 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…