LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Tumetofautiana. Dont judge them, kuona fursa ni kipaji pia na unahitaji kuwa na guts kuzitumia. Si wote wanaweza na kuwa na huo ujasiriSometimes kwenye haya maisha Bora unyimwe nguvu za kike upewe Akili!!
Hata Huku makazini kuna watu tunawaona wanaishi Kwa shida mpaka unawaza huyu anafeli wapi?
Sio lazima uone fursa,hata hicho kidogo unachopata unashindwa kukitumia vizuri???Tumetofautiana. Dont judge them, kuona fursa ni kipaji pia na unahitaji kuwa na guts kuzitumia. Si wote wanaweza na kuwa na huo ujasiri
Si unakuja siku 25 si nyingi utapata pesa nyingineSio lazima uone fursa,hata hicho kidogo unachopata unashindwa kukitumia vizuri???
Kuyaendesha akiwa nje ya siasa haitokuwa rahisi.Ana makampuni huyo
Kawambwa,mpwa wa jakaya kikwete, waziri wa elimu miaka kumi,apigike?!.. kikwete hatupi damu yakeSijui hawakumuona kawambwa juzi kati hapa alivyopigika vilee
Chuo cha afya chali,hakipo tenaHaha you people!
Huyu ni mmiliki wa kile chuo cha afya, yeye na mkewe na ni mwandishi mzuri wa maandiko ya kitafiti… He’s good. Ambacho si kizuri kwake ni kukosa ubunge tu….
Duh kumbe!Chuo cha afya chali,hakipo tena
Unajua humu kuna sisi wengine tunaongea tunayoyaona na kuyajua haya uliza vizuri Kawambwa ana maisha gani sasa hivi ,yupo huko anagombea michanga siku hiziKawambwa,mpwa wa jakaya kikwete, waziri wa elimu miaka kumi,apigike?!.. kikwete hatupi damu yake
Unavyohisi wewe, Kigwangala sio mfanyabiashara? Kwamba uhuni alioufanya maliasili hakufungua biashara yoyote?
Basi Kigwa alichezea hela sana
Bahati nzuri umri wake bado unaruhusuMtaani aje kufanya Nini?
Awahi VETA asipoteze muda.
Awahi msimu wa kilimo cha pilipili kama Ally Happiness au siyo?😂Katika kipindi Cha Scanner pale Clouds ulisema unafanya biashara sasa achana na ndharia njoo kwa ground nakupa miaka miwili tu
Kuna tajiri wa kiasia 1990s alikomalia chenji yake tsh 100,nilishangaa, alikua na majumba na magari lukukiUnajua humu kuna sisi wengine tunaongea tunayoyaona na kuyajua haya uliza vizuri Kawambwa ana maisha gani sasa hivi ,yupo huko anagombea michanga siku hizi
Na wanaanza kutumikia dhambi zao za mauti kutoka kwa MuumbaWaliotoa kafara za watoto wao, wake zao wote wamepigwa chini.