Mzee wa tozo Enzi hizo akiwa Shule

Mzee wa tozo Enzi hizo akiwa Shule

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
FB_IMG_1662659313832.jpg
 
Mwigulu yupo vizuri kichwani kuzidi wengi waliomo humu. Sema kwa asili ngozi nyeusi hiwa ni wivu wa kijinga sana. Kila aliye juu yake ngozi nyeusi inatamani wa juu aanguke. Huwa haishauri bali kukosoa tu.
Hatutamani aanguke bali aache dharau na awashawishi wenzie wafute tozo
 
Nchi zote zilizoendelea zimefanikiwa kwa sababau babu zao walifanya kazi kwa bidii na kujitolea kwa kujua hayo wanayoyafanya yatawafaa wajukuu na vitukuu vyao.

Sisi tunataka kula bata, ata kupanda miti hatutaki, tozo hatutaki, kazi za kujitolea hatutaki. Tutawaachia urithi gani wajukuu na vijtukuu wetu?

Tafakari kwa herufi kubwa pia ruksa kupovuka na sabuni ya foma limao.
 
Paying Tax hata vitabu vya dini vinasema ni wajibu.
Lakini double taxation ni wizi na uporaji kwa raia.
That is what happening in Tanzania na ndicho kinachopigiwa kelele.
Shida ni kuwa nchi hii huwezi kutofautisha uelewa wa Steve Nyerere na kiongozi wa CCM au wasomi mashabiki wa uvccm
 
Nchi zote zilizoendelea zimefanikiwa kwa sababau babu zao walifanya kazi kwa bidii na kujitolea kwa kujua hayo wanayoyafanya yatawafaa wajukuu na vitukuu vyao.

Sisi tunataka kula bata, ata kupanda miti hatutaki, tozo hatutaki, kazi za kujitolea hatutaki. Tutawaachia urithi gani wajukuu na vijtukuu wetu?

Tafakari kwa herufi kubwa pia ruksa kupovuka na sabuni ya foma limao.
Bongo fleva wakate mauno

Ila kwenye kodi watalipa,ila na wao waangalie nmna ya kodi ziwe na unafuu...na matumizi,usimamiz wa pesa wanazokusanya uwepo

Ova
 
Nchi zote zilizoendelea zimefanikiwa kwa sababau babu zao walifanya kazi kwa bidii na kujitolea kwa kujua hayo wanayoyafanya yatawafaa wajukuu na vitukuu vyao.

Sisi tunataka kula bata, ata kupanda miti hatutaki, tozo hatutaki, kazi za kujitolea hatutaki. Tutawaachia urithi gani wajukuu na vijtukuu wetu?

Tafakari kwa herufi kubwa pia ruksa kupovuka na sabuni ya foma limao.
Suala la kupanda miti limenipendeza zaidi [emoji1666]
 
Mwigulu yupo vizuri kichwani kuzidi wengi waliomo humu. Sema kwa asili ngozi nyeusi hiwa ni wivu wa kijinga sana. Kila aliye juu yake ngozi nyeusi inatamani wa juu aanguke. Huwa haishauri bali kukosoa tu.
hv kweli tozo ni ushauri wa wananchi au katutia kamba
 
Mimi nilifikiri amesomea Burundi? kumbe Arusha.
 
Mwigulu yupo vizuri kichwani kuzidi wengi waliomo humu. Sema kwa asili ngozi nyeusi hiwa ni wivu wa kijinga sana. Kila aliye juu yake ngozi nyeusi inatamani wa juu aanguke. Huwa haishauri bali kukosoa tu.
Unadhalilisha neno smart, Kwan anayoyafanya ww huwez kuyafanya? PhD ya uchumi kweli unafanya maamuz ya kijinga kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom