Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Maduhuli ni bidhaa zinazo ingizwa ndani ya Nchi zinatoka nje zinaingizwa ndani kwa kingereza tunasema Import kwa kiswahili fasaha ni maduhuli.
Kwahiyo kuna maduhuli bayana na maduhuli fiche. Maduhuli bayana ndiyo tunasema sasa direct Import na maduhuli fiche tunasema indirect import sijuwi kama unanipata ndugu mswahili.
Lakini pia neno nyingine ni mahuruji,mahuruji sasa ni kinyume chake zile bidhaa tunazozisafirisha kutoka nje tunazitoa ndani ya nje tunazisafirisha nje ya nchi tunasema export