Mzee wa Ulumbi na harakati zake: Imports kwa Kiswahili fasaha inaitwa Maduhuli

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Your browser is not able to display this video.

Maduhuli ni bidhaa zinazo ingizwa ndani ya Nchi zinatoka nje zinaingizwa ndani kwa kingereza tunasema Import kwa kiswahili fasaha ni maduhuli.

Kwahiyo kuna maduhuli bayana na maduhuli fiche. Maduhuli bayana ndiyo tunasema sasa direct Import na maduhuli fiche tunasema indirect import sijuwi kama unanipata ndugu mswahili.

Lakini pia neno nyingine ni mahuruji,mahuruji sasa ni kinyume chake zile bidhaa tunazozisafirisha kutoka nje tunazitoa ndani ya nje tunazisafirisha nje ya nchi tunasema export
 
Hivi Ulumbi unamaanisha nini? 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…