Mzee wa Upako afunguliwa jalada kutishia kuua kwa risasi!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
875
Mzee wa upako amefunguliwa jarada JMD/RB/11099/2014 kituo cha Polisi Mbezi .
Anatuhumiwa Kutishia kumuua kwa Risasi Kijana Robert mkaanga chips Usiku wa Kuamkia jana. Ambapo Mzee wa upako alifyatua risasi tatu hewani .

Source: Mlalamikaji ( Robert 0712 850098) na Polisi Mbezi
UP DATE:
MZEEE WA UPOKO AMETAKIWA AKAJISALIMISHE POLISI MWENYEWE.
 
Nashauri ukileta habari kama hizi,jitahidi kuelezea mkasa ulivyokuwa angalau kwa ufupi kuepusha sintofahamu
zinazoweza kujitokeza kutokana na post yako
mfano,mi najiuliza je nini kilisababisha mzee wa upako afyatue risasi? Je,kwa nini mkaanga chips aone ametishiwa yeye wakati risasi imepigwa hewani? na mengine kama hayo.
 
Mzee wa upako amefunguliwa jarada JMD/RB/11099/2014 kituo cha Polisi Mbezi .
Anatuhumiwa Kutishia kumuua kwa Risasi Kijana Robert mkaanga chips Usiku wa Kuamkia jana. Ambapo Mzee wa upako alifyatua risasi tatu hewani .

Source: Mlalamikaji ( Robert) na Polisi Mbezi

jitahidi ufafanue hii habari mkuu kisa cha habari nzima.
 
Nashauri ukileta habari kama hizi,jitahidi kuelezea mkasa ulivyokuwa angalau kwa ufupi kuepusha sintofahamu
zinazoweza kujitokeza kutokana na post yako
mfano,mi najiuliza je nini kilisababisha mzee wa upako afyatue risasi? Je,kwa nini mkaanga chips aone ametishiwa yeye wakati risasi imepigwa hewani? na mengine kama hayo.
Ni kweli kabisa unachosema ila mimi sifahamu na siwezi kuongeza wala kupunguza ninachokifahamu
Mimi nimeleta taarifa humu ili watu angalau wafahamu sasa kama wewe ni mpelelezi nenda ukafanye kazi hiyo utuletee humu tufaidike maana angalau umejua mtu wako kafanya hivyo na polisi wamepokea taarifa!
 
Unaweza kuleta hoja, badala ya kujenga na kuwafanya watu wachangie..ukaharibu kabisa hali ya hewa. Nadhani matukio kama haya unatakiwa kuwa makini na kuleta habari iliyikamilika. Kama huwezi ni bora kukaa kimya.
 
Akaekimya mpaka Mwananawaadamuatakaporudi kunyakuwawatuwake
 
Mtumishi wa mungu mwenye bastola akipimana ubavu na mkaanga chips? Hapo kanisani anaheshimika na kuamini sala zake zinaponya waumini! Wajinga ndio waliwao kweli..
 
Nadhani hii habari haijakamilika siamini kama mzee wa upako ni chizi afyatue risasi bila ya sababu
 
Mtumishi wa Mungu anatembea na bastola je sisi itakuwaje?halafu naomba kuuliza ina maana hana hofu ya Mungu?alijuaje labda huyo mkaanga chips ni msharika wake?au ana ndugu yake anasali kwenye kanisa lake?
 
Nashauri ukileta habari kama hizi,jitahidi kuelezea mkasa ulivyokuwa angalau kwa ufupi kuepusha sintofahamu
zinazoweza kujitokeza kutokana na post yako
mfano,mi najiuliza je nini kilisababisha mzee wa upako afyatue risasi? Je,kwa nini mkaanga chips aone ametishiwa yeye wakati risasi imepigwa hewani? na mengine kama hayo.

Ukiifiatilia habari ya kiudaku kama hii unaweza kukuta jamaa aliyeshtakiwa ni mhuni fulani anayekula sana wake za watu mtaani na watu wameamua kumpachika jina la utani "Mzee wa Upako". Kwamba anatoa upako kwa wake za watu.
 
Nashauri ukileta habari kama hizi,jitahidi kuelezea mkasa ulivyokuwa angalau kwa ufupi kuepusha sintofahamu
zinazoweza kujitokeza kutokana na post yako
mfano,mi najiuliza je nini kilisababisha mzee wa upako afyatue risasi? Je,kwa nini mkaanga chips aone ametishiwa yeye wakati risasi imepigwa hewani? na mengine kama hayo.

Naunga mkono hoja. Mtu unatakiwa ujipange kwanza kisha angalau uwe na story halisi kwa ufupi vinginevyo ni tetesi.
 
Habari hii imekaa hewani sana. Je mkaanga chips alivamia kwa mzee wa upako. Je mzee alikula chips hakulipa au ilikuwaje. Siamini kuwa mzee wa upako ana matatizo ya akili.

Funguka zaidi kidogo.
 
habari hii imekaa hewani sana. Je mkaanga chips alivamia kwa mzee wa upako. Je mzee alikula chips hakulipa au ilikuwaje. Siamini kuwa mzee wa upako ana matatizo ya akili.

Funguka zaidi kidogo.
subiri kila kitu kitakuwa wazi
 
pOLISI WAMEMTAKAMZEE WA UPAKO AKAJISALIMISHE MWENYEWE
 
Hii habari hata haieleweki imekaa kama kuchafuana zaidi
 
Back
Top Bottom