KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
Mzee wa upako amefunguliwa jarada JMD/RB/11099/2014 kituo cha Polisi Mbezi .
Anatuhumiwa Kutishia kumuua kwa Risasi Kijana Robert mkaanga chips Usiku wa Kuamkia jana. Ambapo Mzee wa upako alifyatua risasi tatu hewani .
Source: Mlalamikaji ( Robert) na Polisi Mbezi
Ni kweli kabisa unachosema ila mimi sifahamu na siwezi kuongeza wala kupunguza ninachokifahamuNashauri ukileta habari kama hizi,jitahidi kuelezea mkasa ulivyokuwa angalau kwa ufupi kuepusha sintofahamu
zinazoweza kujitokeza kutokana na post yako
mfano,mi najiuliza je nini kilisababisha mzee wa upako afyatue risasi? Je,kwa nini mkaanga chips aone ametishiwa yeye wakati risasi imepigwa hewani? na mengine kama hayo.
Unaweza kuleta hoja, badala ya kujenga na kuwafanya watu wachangie..ukaharibu kabisa hali ya hewa. Nadhani matukio kama haya unatakiwa kuwa makini na kuleta habari iliyikamilika. Kama huwezi ni bora kukaa kimya.Ni kweli kabisa unachosema ila mimi sifahamu na siwezi kuongeza wala kupunguza ninachokifahamu
Mimi nimeleta taarifa humu ili watu angalau wafahamu sasa kama wewe ni mpelelezi nenda ukafanye kazi hiyo utuletee humu tufaidike maana angalau umejua mtu wako kafanya hivyo na polisi wamepokea taarifa!
Unaweza kuleta hoja, badala ya kujenga na kuwafanya watu wachangie..ukaharibu kabisa hali ya hewa. Nadhani matukio kama haya unatakiwa kuwa makini na kuleta habari iliyikamilika. Kama huwezi ni bora kukaa kimya.
Nashauri ukileta habari kama hizi,jitahidi kuelezea mkasa ulivyokuwa angalau kwa ufupi kuepusha sintofahamu
zinazoweza kujitokeza kutokana na post yako
mfano,mi najiuliza je nini kilisababisha mzee wa upako afyatue risasi? Je,kwa nini mkaanga chips aone ametishiwa yeye wakati risasi imepigwa hewani? na mengine kama hayo.
Nashauri ukileta habari kama hizi,jitahidi kuelezea mkasa ulivyokuwa angalau kwa ufupi kuepusha sintofahamu
zinazoweza kujitokeza kutokana na post yako
mfano,mi najiuliza je nini kilisababisha mzee wa upako afyatue risasi? Je,kwa nini mkaanga chips aone ametishiwa yeye wakati risasi imepigwa hewani? na mengine kama hayo.
subiri kila kitu kitakuwa wazihabari hii imekaa hewani sana. Je mkaanga chips alivamia kwa mzee wa upako. Je mzee alikula chips hakulipa au ilikuwaje. Siamini kuwa mzee wa upako ana matatizo ya akili.
Funguka zaidi kidogo.