Mzee wa upako. Amesema anayekataa kuchanjwa ni zombi''

2 pacha

Senior Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
136
Reaction score
44
Duuh nimeona leo kwenye mahubir ya mzee wa upako kuwa yeyote anaekataa kuchanjwa chanjo ya corona huyo ni 'zombi'' tena amefika mbaali zaidi na kusema kuwa gwaji boy nae anapotosha watu kwa kuwazuia kwenda kuchanjwa kwahyo nayeye ni zombi.
 
Mwongo, weka ushahidi!
 
Sahau ni dawa, mazombii halisi huwa yanapenda kuparamia mageti ya watu huku ya kiporomosha matusi.
 
Anahamasisha Watu wakachanjwe safi sana hao ndio viongozi wa Dini wenye hekima

Kila siku nasemaga Konyagi kubwa huongeza maarifa.
 
Back
Top Bottom