Mzee wa Upako awaonya Alikiba na Diamond Platnumz waache Uzinzi...

Mzee wa upako, lusekele anaenda na wakati...

Ingawa ni mchungaji lakini hataki kuishi zama za ya Yuda...

Anatumikia vyote, dunia na mbinguni...

Cc: mahondaw
 
Si mbaya wajinga wakizidi kupunwa, Injili inatafuta kiki kwa bongoflavour mapene yakizidi kusakwa kwa udi na uvumba.
 
Halafu mkewe mpole jamani, mwanaume ndio huyo hadi nyagi anagonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…