macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mh. Tumefikia hatua ya kutishana tena? Huhitaji degree kujua hawa watu ni manabii na mitume fake! Ndipo utapeli wao ulipo. Wewe unafikiri utapeli ni nini?Kamtapeli nani? Yeyote aliye tapeliwa na BOB LUSE MZEE wa Upako aje kwangu nimsaidie kusimamia haki yake mpaka ipatikane.
macho_mdiliko, jihadhari na kitu kinaitwa defamation, unaweza kujikuta hatiani iwapo utashindwa kuuthibitisha utapeli wa Lusekelo
Utapeli ni nini? Sijakutisha nimekutahadharisha tu kuhusu defamationMh. Tumefikia hatua ya kutishana tena? Huhitaji degree kujua hawa watu ni manabii na mitume fake! Ndipo utapeli wao ulipo. Wewe unafikiri utapeli ni nini?
mkuu mbona muuza bucha kuumbuka, kuku wa pili atamtoa wapi?Ila tusiwaseme vibaya masihi wa Bwana.
Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
intro ukifika pale unaambiwa lazima uamini kumuomba mungu wa lusekelo,Ndiyo ''mitume'' na ''wachungaji'' wetu wa kisasa. Ama kweli wajinga ndiyo waliwao. Unakuta tapeli kama huyu amefungisha tela wa manyumbu maelfu kadhaa na wanampelekea fedha kanisani!
huyu jamaa alishaanza kuuza ile gongo aliyosema atauza kama hawatakufa wale waandishi waliomexpose na ulevi + umalaya wake? ha ha ha huyu naye ni janga la kanisaMchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake
Akiongea na kipindi cha Maisha Mseto cha Times FM, Mzee huyo wa Upako amesema anampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu lakini Alikiba ni kiburi.
“Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, Simpendi Alikiba kwa sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa Kariakoo,” amesema Lusekelo.
Mchungaji huyo ameongeza kwa kusema, “Ukipigia simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndio maana Diamond amefika mbali.”
GuDume noma, ila Kuna kauzu wa zamani anaitwa General Galadudu, ni nomaaaaaaa
Ila mpana sana.....mimi ni mtu mpole na mtulivu sana.............
Na hapo lazima Mzee wa Upako alikuwa tayari ashapiga Nyagi.Kwahiyo mzee wa upako ni diwani wa Kibangu mpaka mtukufu bosi wa malaika akatoe ahadi ya kumwekea lami mbele ya madhabahu ya mlevi wa konyagi?
Uongo unapanda lifti ukweli unapanda ngazimkuu mbona muuza bucha kuumbuka, kuku wa pili atamtoa wapi?