Mzee wa Upako: Nampenda Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, simpendi Alikiba ni kiburi

Anatafuta mashabiki huyo hana lolote. Anajua kabisa idadi inayomkubali mond ndio maana kasema hivyo
 


hahahaaaa mkuu umetisha
 


this may signify kitu, maisha yana tafsiri na siri/sababu nyingi za mafanikio
 
Mchungaji Anthony Lusekelo ameweka wazi kuwa msanii Alikiba ana shindwa kufika mbali kwakuwa amejaa kiburi na maringo yasiyo na msingi ndio maana ana shindwa kupiga hatua kama mwenzie Diamond....Lusekelo aliendelea kusema kuwa Kiburi na maringo ni vikwazo vikubwa katika maendeleo hivyo msanii Alikiba ana paswa kubadilika ili aweze kupiga hatua...

  • timesfmtz"Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, Simpendi Alikiba kwa sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa Kariakoo. Ukipigia simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndo maana Diamond amefika mbali". Anthony Lusekelo. [HASHTAG]#MaishaMseto[/HASHTAG].
 
hahaha, mchungajii bana kwani kariakoo ndo kumejaa watu wenye maringo.....yajayo yanafurahisha
 
hahaaa...mchungaji alishaacha kula ulabu " mwambie aache ulevi kwanza ...kisha ndio aanze kutoa kasoro za wengine "" mbona hata kitabu anacho tumia kufundishia dini " kina muasa kutoa kwanza boriti jichoni mwake "" kisha ndio akatoe kibanzi kwa mwenzake ""
 

chungaji Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa upako ameweka wazi juu ya upendo alionao kwa msanii Diamond Platinumz akidai kuwa ni mnyenyekevu huku akimponda vikali msanii Alikiba akidai kuwa anaringa na amezifananisha tabia hizo na mafanikio yao.

”Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, simpendi Alikiba sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa kariakoo. Ukimpiga simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndo maana Diamond amefika mbali” Amesema Lusekelo.

Amezungumza hayo leo pindi alipokuwa anafanya mahojiano na stesheni ya Redio ya TimesFM alipokwenda kutoa ushuhuda juu ya kumpigia simu msanii wa muziki Abubakar Shabaan Katwila maarufu kama Qchillah kumsihi asiachane na muziki kwani yeye ni moja kati ya mashabiki wake
 


Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake.

Akiongea na kipindi cha Maisha Mseto cha Times FM, Mzee huyo wa Upako amesema anampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu lakini Alikiba ni kiburi.

“Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, Simpendi Alikiba kwa sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa Kariakoo,” amesema Lusekelo.

Mchungaji huyo ameongeza kwa kusema, “Ukipigia simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndio maana Diamond amefika mbali.”

My take on this: SADAKA!
 
Lusekelo ni muwazi sana huwa namsikiliza wakati mwingine kuna aina fulani
ya Ujanja wa kawaida katika maisha naupata kwake
 
Ali Kiba naona anamuiga diamond na yeye anawekeza sasa maana alikuwa anawekeza kwenye papuchi akashindwa kuelewa ukishakuwa msanii basi wanawake wote wako.
 
Mi namkubari kiba ila mond aninifurahisha lifestlye yake huyu kiba anajiona cake sana hadi anaboa ***** yan umkute kwenye interview ndo kichefuchefu bora yule mla papuchi wamadale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…