mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Wote mnaoishi Dar es salaam huku mnalia maisha magumu ni mafala,aliwahi kusema Anton Lusekelo mzse wa upako
Ukipita barabarani ni foleni za magari lakini wewe huna hata pikipiki we ni
Majumba yote jiji zima lakini huna hata kiwanja wewe ni
......
Jiji lina watu milioni sita,ukibuni product yako inayoweza kuwafikia watu 1000 tu kwa siku ikakupa faida ya shilingi 100 tu,laki moja tayari
Mnakumbuka zile key holder za mbao zilizokuwa na majina na tafsiri zake? Yule bwana aliyezigundua ni bilionea kwa sasa anafyonza juice kwenye swimming pool pembeni ya ghorofa lake.
Alifanya utafiti wa majina maarufu nchini, ya kizungu, kiarabu na kuswahili na kutafuta maana yake, akaprinti kila jina na tafsiri yake kwenye kikaratasi akabandika kwenye kaubao na kutengeneza key holder. Aliwapiga sana watu kilaini bila TRA kumfatilia wakijua ni biashara ya kijinga.
Huo ni mfano tu, tumia fursa ya hiyo population buni kitu ingiza mtaani.
Mimi jiji lilinishinda nikaona nisiwe miongoni mwa mafala nikaenda kijijini nikafyeka vichaka nallima, kuna kazi siwezi kufanya huko daslama. Niliwahi kujaribu kufungua car wash nikawa napata wateja wengi niokua nao na kusoma nao wanakuja kuosha magari yao na VX yenye thamani ya mamilioni mimi hapo namiliki paso piston 3 ya milioni 2.5. Niliishia kupata sonona na kuamua kukaa mbali na watu ninaowafahamu nipambane bila aibu
Ewe kijana unayewaza kujiua kwa ugumu wa maisha,ewe kijana uliyemaliza chuo ukakosa ajira kwa muda mrefu. Option ni mbili tu: Acha aibu fanya biashara yoyote halali ukuze mtaji hata kama itaonekana ya kijinga
Au toka huko uliko potelea kijijini badili hata namba ya simu jishushe anza kilimo hata cha mbogamboga,ncgi yetu ina ardhi kubwa, si lazima uwe unaimiliki, omba kwa wenye nazo au kodisha ulime.