Ivilikinge
Member
- Jun 15, 2009
- 29
- 1
Hakuna kuacha matapeli wanaotumia dini lazima CV zao zijulikane,mbona akina Pengo,Malasusa,Mokiwa CV zao ziko njenje pia tunataka cv ya mama dk mhe mchungaji,mfanyabiashara Lwakatale
achana na hizo wewe? anayehukumu ni mungu
huna hijiua hukumu ya mungu wewe usiichezeee kama huijua ya kaizari muachie kaizari kaka. Hizi si imani za kujidai etiYaani mtu asiwe screened kwa sababu Mungu ndo anayehukumu?? Basi tufunge college ya Mahakama kule 'Ushoto' na tufunge mahakama zote na tuache kila kitu Mungu atoe hukumu ati
huna hijiua hukumu ya mungu wewe usiichezeee kama huijua ya kaizari muachie kaizari kaka. Hizi si imani za kujidai eti