Pre GE2025 Mzee wangu Emmanuel Nchimbi ubarikiwe kwa kumchangia Lissu, naomba kila mkutano wa CCM tumchangie, Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Halafu baadaye wanawatuma polisi kumpa kibondo,sidhani Lissu ni mjinga hivyo ,wako wapi sauti ya watanzania tusikie comments zao,kwa hili wanamezea wanangojea la Mbowe tu!
 
Lissu asipokee hiyo hela , misaada mingine ni ya kinafiki
 
Misaada ya kidhalilishaji
Lissu akiipokea hii hela atakuwa amekosa umakini kwa kiwango kikubwa. Huu ni msaada wa kisiasa, kuitakatisha CCM mbele ya umma
 
Lissu asipokee hiyo hela , misaada mingine ni ya kinafiki
ghiliba na kupotezea alivyosokomezwa lisu na Polisi kwenye gari Mbeya mtu mzima,sauti ya watanzania,wazee wa kumsagia Mbowe mpo!
 
Misaada ya kidhalilishaji
Lissu akiipokea hii hela atakuwa amekosa umakini kwa kiwango kikubwa. Huu ni msaada wa kisiasa, kuitakatisha CCM mbele ya umma

..una uhakika mbele ya safari Mbowe, Lissu, au wanachadema, hawatadhalilishwa, au kupigwa, na vyombo vya serikali ya Ccm?
 
Wanataka kuibomoa chadema ambayo imeshajifia yenyewe kwa kukosa mwelekeo. Itachukua miaka miningine 20 kujenga Chadema kama ile ya 2006-2014.
 
Halafu baadaye wanawatuma polisi kumpa kibondo,sidhani Lissu ni mjinga hivyo ,wako wapi sauti ya watanzania tusikie comments zao,kwa hili wanamezea wanangojea la Mbowe tu!
Ulimuona ana jeraha mahala popote? Hata mkwaruzo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…