The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Swala hii itapigwa leo saa 6 usiku na wazee wenzie ,kaniambia swala hii huwa ni ya kushitaki kwa mungu juu ya kiti kilichopotea na kulaani aliehusika kwa njia yoyote hata kama alisaidia kununua soda tu ,Mzee huyu aliniambia kwa uchungu Mo ni mtu wa watu muajiri muaminifu inakuwaje kikundi kidogo cha wasio fanya kazi halali kikatishe riziki ya malaki ,nimemuuliza watafanyaje?
Kaniambia swala hii inahusisha kutaja kutaja majina ya Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) mmoja baada ya mwingine. Katika kutaja huko ni Imani ya mwenye kusoma hao Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) wanamsaidia kwa njia moja au nyingine.
Baada ya hapo kesho watafunga kutwa nzima na dua itarudiwa saa nane hivyo leo daku wanakula saa nne .
Hebu nilione movie linakuwaje.
MREJESHO saa 09:52
Saiz wanaelekea zakihemu kula daku wazee 7 na vijana wawili jumla 9,so ntaendelea kuwajuza
MREJESHO
Jamani wazee wanahasira muda huu wametoa udhuru kwa kutawaza wanaelekea msikiti fulani(sitaji) baada ya dakika 10 Ila idadi 8 kijana mmoja alipata shuhuri ya kumtoa mtu mapepo,ntawajuza