Mzee Warioba alieongoza Tume ya Katiba, ndio anastahili kupewa Udaktari wa Heshima

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.

Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.

Yangu ni hayo tu.
 
Hiyo katiba ya Warioba inatumika nchi gani ....!
 
Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.

Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.

Yangu ni hayo tu.
Naunga mkono
 
PAMOJA na JK na MAHAFIDHINA wa CCM kina Wassira Waliipinga Katiba ya Mzee WARIOBA bado LEGACY ya MZEE WARIOBA itaendelea KUKUMBUKWA kwa KATIBA yake PENDEKEZWA MUNGU MBARIKI SANA "MZEE SINDE WARIOBA"
 
Angewesesha hiyo Katiba Sasa ,Kama Hakuna Katiba apewe udaktari wa Nini?
 
Ilizaa matunda gani?
Ukifanya jambo hata kama ulikatika mkono kama hakuna matunda kazi ni 0 0
 
Walioinyofoa ndio hao wanapeana PhD za akina Musukuma, mwingine alishakufa , anaitwa Samuel Sitta
yaani dad unaonyesha kiwango chako cha kukosa ustaarabu kusema namwingine aliyekufa? hata kama mtu humpendi huwezi kumtamkia hivyo wewe humpendi lakini kuna watu wana mpenda na kumuheshimu
 
PAMOJA na JK na MAHAFIDHINA wa CCM kina Wassira Waliipinga Katiba ya Mzee WARIOBA bado LEGACY ya MZEE WARIOBA itaendelea KUKUMBUKWA kwa KATIBA yake PENDEKEZWA MUNGU MBARIKI SANA "MZEE SINDE WARIOBA"
yaani unasifia as if aliitengeneza yeye kumbe ni jopo la watu kadhaa
 
Walioinyofoa ndio hao wanapeana PhD za akina Musukuma, mwingine alishakufa , anaitwa Samuel Sitta
1669813887888.png
 
Mzee ana akili nzuri tu yule, hastahili hivi vitu vya kupewa kama zawadi sawa na wasio na uwezo kichwani, yule anatakiwa kupewa tuzo yake ya heshima, au ajengewe sanamu, kwa kazi aliyoifanya kwa hili taifa japo hiyo kazi yake baadae haikufanyiwa kazi.
 
Huyu mzee ni mwanaccm lakini ukimuandika tu Yaani unashambulia kana kwamba huyo mzee ni mpinzani wa CCM!sijui KWA Nini!?

Warioba ni mwanaccm na sisi humu wengi tupo ccm lakini ukimtaja huyu mzee kwamba katiba yake irudi mezani unaonekana We ni CHADEMA na umetumwa na MBOWE!!

Huwa inashangaza,ccm ina blocks kibao aiseh!

Japo mimi naikubali ccm ya kina NYERERE,Butiku na Warioba japo sikuwepo lakini naaminj ilikuwa na uti wa kujali watu wote kuliko hii ya Sasa inayojali wenye ukwasi wa mashaka!! Na kifisadi!!
 
Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.

Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.

Yangu ni hayo tu.
Mh mzee Warioba ni nyongo kwao!!
 
Tukiona inafaa hata wabunge wote wapewe tu,Na muokoaji Majaliwa naye akumbukwe apewe.
 
Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.

Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.

Yangu ni hayo tu.
Mpeni mnaotaka katiba mpya tena mmeshachelewa
 
Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.

Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.

Yangu ni hayo tu.
Aliyeukwamisha mchakato ndio mtoaji sasa hapo itakuwaje !!
 
Nchi hii ukiwa mkweli hupati kiti!
 
Back
Top Bottom