Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Walioinyofoa ndio hao wanapeana PhD za akina Musukuma, mwingine alishakufa , anaitwa Samuel SittaKatiba ilifanikiwa?
Naunga mkonoKwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.
Yangu ni hayo tu.
PAMOJA na JK na MAHAFIDHINA wa CCM kina Wassira Waliipinga Katiba ya Mzee WARIOBA bado LEGACY ya MZEE WARIOBA itaendelea KUKUMBUKWA kwa KATIBA yake PENDEKEZWA MUNGU MBARIKI SANA "MZEE SINDE WARIOBA"Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.
Yangu ni hayo tu.
Angewesesha hiyo Katiba Sasa ,Kama Hakuna Katiba apewe udaktari wa Nini?Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.
Yangu ni hayo tu.
yaani dad unaonyesha kiwango chako cha kukosa ustaarabu kusema namwingine aliyekufa? hata kama mtu humpendi huwezi kumtamkia hivyo wewe humpendi lakini kuna watu wana mpenda na kumuheshimuWalioinyofoa ndio hao wanapeana PhD za akina Musukuma, mwingine alishakufa , anaitwa Samuel Sitta
yaani unasifia as if aliitengeneza yeye kumbe ni jopo la watu kadhaaPAMOJA na JK na MAHAFIDHINA wa CCM kina Wassira Waliipinga Katiba ya Mzee WARIOBA bado LEGACY ya MZEE WARIOBA itaendelea KUKUMBUKWA kwa KATIBA yake PENDEKEZWA MUNGU MBARIKI SANA "MZEE SINDE WARIOBA"
Walioinyofoa ndio hao wanapeana PhD za akina Musukuma, mwingine alishakufa , anaitwa Samuel Sitta
Mh mzee Warioba ni nyongo kwao!!Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.
Yangu ni hayo tu.
Mpeni mnaotaka katiba mpya tena mmeshachelewaKwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.
Yangu ni hayo tu.
Aliyeukwamisha mchakato ndio mtoaji sasa hapo itakuwaje !!Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.
Yangu ni hayo tu.
Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.
Yangu ni hayo tu.
Nchi hii ukiwa mkweli hupati kiti!Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango wao.
Yangu ni hayo tu.