Mzee Warioba kuongoza tume ya katiba!

waingereza wazawa?
hapana, Waingereza hawakuwa wazawa, na ndio maana tunaibadilisha hii Katiba, maana iliandikwa na ambao si wazawa, sasa hatuwezi tena kuandikiwa katiba na mtu anaitwa "Shivji."
 
JK katimiza wajibu wake.tunaomba na tume mtimize wajibu wenu.

Sitaamini kwa majina hayo kusikia story za kuburuzwa na amini wengi wao umri umeenda tunachohitaji kwao ni kuacha LEGACY=NEW CONSTITUTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…