Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? πŸ˜ƒ

Wassira safari ya Marekani kufanya nini.
Anakwenda kumtafuta Mange ili amteke?
 
Hujamuelewa ????

Anamaanisha endelea kutukana, kuuwa kuteka na kutamba katika uwanja wako huru na ukilindwa na dola, ila kila kitu kitatunzwa kwa matumizi yajayo.
ok.
punguza porojo bas jukwaani na itapendeza zaidi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…