Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
We endelea kuchukia wenzio kupigwa ban kwenda USA huku wewe ukiendelea kula magimbiwatoto wake kule wanaishi ,wewe baki kusema kutamsaidia nini, uipigie kura ccm ,wenzio familia zao ziko US
Unamaanisha huyu dogo fenandez muanzilishi wa NALA?siyo huyo tu hata yule MD wa NALA naye alinyimwa ,sijui kama alipata
Ubalozi wa Marekani Tanzania unatowa viza maalum tu kwa Watanzania kwa sasa bado tupo kwenye ban ya Trump.Nacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar.
Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa.
Twenzetu China π
Msiingize kila kitu siasa, mmiliki wa Nala Fernandes amesoma Marekani na Nala ameifungulia Marekani lakini naye Wamerevoke viza yake anashindwa kuingia Marekani.Kamati Kuu nzima ya NEC inaweza kunyimwa viza.
Nasikia hata Kikwete ameanza kuonja joto ya jiwe labda Samia amtume kikazi lkn kwa issue zake jamaa ashapigwa za uso.
Mwacheni baba yangu jamani..ππππ
Msiingize kila kitu siasa, mmiliki wa Nala Fernandes amesoma Marekani na Nala ameifungulia Marekani lakini naye Wamerevoke viza yake anashindwa kuingia Marekani.
Kikwete ana nyumba New York Marekani.
hahahaha,hapana mkuu mie sichukii nisome vzr,tuko pamoja mkuuWe endelea kuchukia wenzio kupigwa ban kwenda USA huku wewe ukiendelea kula magimbi
Huyu mzee simpendi ni basi tuu sina cha kumfanya lakini ni mwanasiasa wa hovyo sana kuwahi kutokeaNacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar.
Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa.
Twenzetu China π
Niamkie mdogo wanguMwacheni baba yangu jamani..ππππ
Aende Guangzou tuSS itakuwaje