Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Huyu Mzee naona anakoelekea siko kabisa, ni mwendelezo wa kujikomba. Akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ametoa kauli hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mzee naona anakoelekea siko kabisa, ni mwendelezo wa kujikomba. Akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ametoa kauli hiyo.
Kujibizana na mtu Kama mzee Wasira ni kukosa kazi za kufanya, mtu amechoka mwili na akili kama huyo kwa nini upoteze muda na nguvu zako kwa kujibizana naye?Bado anazo kumbukumbu?