Pre GE2025 Mzee Wasira nani kamtuma kusemea wananchi kuwa tunaunga Rais Samia kupewa mitano tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Huyu Mzee naona anakoelekea siko kabisa, ni mwendelezo wa kujikomba. Akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ametoa kauli hiyo.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Mzee naona anakoelekea siko kabisa, ni mwendelezo wa kujikomba. Akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ametoa kauli hiyo.
Bado anazo kumbukumbu?
Kujibizana na mtu Kama mzee Wasira ni kukosa kazi za kufanya, mtu amechoka mwili na akili kama huyo kwa nini upoteze muda na nguvu zako kwa kujibizana naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…